PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MAGESA MULONGO ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMILI KATIKA UONGOZI WA BIASHARA YA CHUO CHA ESAMI JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Magesa Mulongo(wa pili kushoto) akiwa na wakufunzi wa Chuo cha Uongozi ESAMI jijini Arusha baada ya kut...



Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Magesa Mulongo(wa pili kushoto) akiwa na wakufunzi wa Chuo cha Uongozi ESAMI jijini Arusha baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili katika Uongozi  wa Biashara Jumamosi.


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Magesa Mulongo(wa pili kushoto) ,Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini,Badra Masoud akiwa na wahitimu wengine katika  Chuo cha Uongozi ESAMI jijini Arusha baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili katika Uongozi  wa Biashara Jumamosi.


Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini,Badra Masoud(kulia) na Afisa katika Ofisi ya Mawasiliano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Belinda Wella baada ya kutunukiwa Shahada  ya Uzamili katika Uongozi  wa Biashara Jumamosi.


Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini,Badra Masoud akiwa na wadau 




Badra Masoud akiwa na watoto wake waliofika kumpongeza


Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini,Badra Masoud akiwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Irene Ongiri aliyefika kumpa pongezi

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top