Basi la Super Aljabir baada ya ajali.
Basi hilo likiwa limepinduka.
Baadhi ya miili katika ajali hiyo ikiwa eneo la tukio.
Watu
12 wamefariki dunia papo hapo na wengine 45 wamejeruhiwa katika ajali
ya basi mali ya kampuni ya al Jabir ambalo limegongwa na Treni ya Tazara
katika eneo la Kiberege, Morogoro..Majeruhi wanapatiwa matibabu katika
hospatali ya St Francis huku maiti zikiwa zimehifadhiwa katika hosptali hiyo hiyo......
Post a Comment