PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: BALOZI WA TANZANIA AMJULIA HALI RAIS KIKWETE HOSPITALINI ALIKOLAZWA BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Marek...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchini Marekani, jana Jumapili, siku moja baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume.

Habari kutoka hospitalini hapo zinasema Rais Kikwete anaendelea vyema na leo asubuhi alianza mazoezi ya kutembea, kuashiria kwamba mambo yote ni mswano. 
 
Tutaendelea kwuashirikisha taarifa ya maendeleo yake
mara kwa mara. Tuzidi kumuombea apate nafuu haraka ili arejee nyumbani kulijenga Taifa.

PICHA NA IKULU

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top