PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: KAMATI YA SIASA DSM WATEMBELEA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI LINALOJENGWA NA NSSF
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick...


 Mhandisi John Msemo akitoa maelezo kwa Wajumbe hao.
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (wa pili kushoto), wakiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo. Daraja hilo linajengwa kwa  ufadhili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Wa tatu kushoto ni Meneja Mradi ujenzi wa daraja hilo, Mhandisi John Msemo.
 Wajumbe wakiwa katika ziara hiyo.
 Baadhi ya barabara za kuingia katika daraja hilo.
 Mhandisi John Msemo kutoka NSSF akitoa ufafanuzi kuhusu ujenzi wa Daraja hilo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza katika eneo la Ujenzi wa Daraja la Kigamboni.
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Salum Madenge akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni.
 Meneja Mradi Daraja Kigamboni Mhandisi John Msemo (wa pili kushoto) akiagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Salum Madenge.
 Msimamizi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mataka akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top