PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-MAFUNZO KWA VITENDO UMEME WA MAJUMBANI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wanafunzi wanaosoma fani ya ufundi wa magari  ngazi ya diploma katika chuo cha Ufundi Elerai VTC kilichopo Arusha wakiwa kwenye mazoez...
Wanafunzi wanaosoma fani ya ufundi wa magari  ngazi ya diploma katika chuo cha Ufundi Elerai VTC kilichopo Arusha wakiwa kwenye mazoezi kwa njia ya vitendo.Chuo hicho kinakabiliwa na changamoto ya vifaa vya kufundishia.Picha na Ferdinand Shayo
 
Mwanafunzi Saimon Joseph  anayesoma fani ya umeme wa majumbani ngazi ya diploma Ufundi Elerai VTC kilichopo Arusha akifafanua jambo walipokuwa kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo na wanafunzi wenzake hivi karibuni .Picha na Ferdinand Shayo

 
 
 
 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top