PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: TAMASHA LA MATUMAINI MADA MAUGO ALIPA KISASI KWA MASHALI, CHOKORAA AMCHAPA MEMBA, JB AMDUNDA CLOUD
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
   Mwanamuziki na Bondia, Khalid Chokoraa (kushoto) akichapana na mpinzani wake said Memba, wakati wa pambano lao la Raundi nne...


 Mwanamuziki na Bondia, Khalid Chokoraa (kushoto) akichapana na mpinzani wake said Memba, wakati wa pambano lao la Raundi nne, lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini dar,usiku huu wakati wa tamasha la Matumaini.Katika pambano hilo,Chokoraa ameshinda kwa Pointi.
 Mada Maugo (kushoto) akichapana na mpinzani wake Thomas Mashali, wakati wa pambano lao la Raundi sita, lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini dar,usiku huu wakati wa tamasha la Matumaini.Katika pambano hilo, Maugo ameshinda kwa Pointi.
 Maugo, akibebwa na mashabiki wake wakishangilia ushindi....
wasanii wa Maigizo,Cloud (kushoto) na JB, wakichana wakati wa Tamasha hilo. Jb alishinda kwa Pointi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top