

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wajumbe wa
Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la katiba kwenye viwanja vya hoteli
ya St. Gaspar mjini Dodoma Agosti 7, 2014 ambako vikao vya kamati nne
vinafanyika. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utaala
Bora, Capt George Mkuchika, Faida Bakari na Dr. Ave Maria Semakafu.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Post a Comment