PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MWIGULU NCHEMBA ATOA UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA MISHAHARA YA WATUMISHI YA MWEZI JULAI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiongea na waandishi wa habari wakati alipokuwa akifafanua juu ya malipo ya mishahara ya ...


 Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiongea na waandishi wa habari wakati alipokuwa akifafanua juu ya malipo ya mishahara ya watumishi yaliyofanyika mwezi Julai mwaka huu leo jijini Dar es salaam ambapo ameonya mamlaka husika ziwe na taarifa sahihi za idadi ya watumishi ili kuondoa makosa ya kulipa mishahara hewa, endapo kutatokea makosa ya ulipaji wa mishahara hewa watachukuliwa hatua za kisheria na kufikishwa mahakamani.
 Picha zote na Eleuteri Mangi – MAELEZO

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top