PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: UKAWA WAZIDI KUIPA SERIKALI WAKATI MGUMU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni wajumbe wa bunge la katiba wanaojiita ukawa wakitoka katika kikao cha bunge na kuisusia ccm na serkikali kwa madai kwamba maoni ...

Pichani ni wajumbe wa bunge la katiba wanaojiita ukawa wakitoka katika kikao cha bunge na kuisusia ccm na serkikali kwa madai kwamba maoni y awananchi hayaheshimiwi na serikali ilkiyopo madarakani na kusema kuwa hawapo tayari kushiriki katka mchakato ambao rasimu iliyowasilishwa na jaji  WARIOBA kukataliwa na viongozi wengi wa serikali na wajumbe wanaotoka chama cha mapinduzi

Baada ya jana kutoka katika bunge wakimtuhumu mh LUKUVI kuwa anatumia nafasi yake kama waziri kuwatisha wananchi wanaoamini muundo wa serikali tatu mwenyekiti wa Bunge mh.Samwel Sita alimuomba waziri huyo aje atoe ufafanuzi wa kauli yake hiyo iliyoonekana kuwakera UKAWA 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top