Mwenyekiti wa tume ya katiba Jaji Joseph Warioba alipokuwa akiwasilisha
hoja yake mbele ya katiba maalum la katiba mjini Dodoma hivi karibuni
Wakati taarifa ya Tume ya Warioba ilitolewa jana
jioni, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ilikuwa imeshatoa taarifa
ya kuvunja tume hiyo mapema jana ikieleza kuwa shughuli za tume hiyo
zilikoma tangu Jumatano iliyopita.
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kulia) akiongoza kikao cha kwanza cha Kamati ya Uongozi ya Bunge hilo, mjini Dodoma jana.
Taarifa hiyo ya Tume ya Warioba imetaja baadhi ya sababu za kupendekezwa kwa muundo wa serikali tatu kuwa, ni pamoja na Serikali ya Muungano kutokuwa tena na nguvu upande wa Zanzibar na Rais kupokwa baadhi ya madaraka aliyopewa kikatiba
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (kulia) akiongoza kikao cha kwanza cha Kamati ya Uongozi ya Bunge hilo, mjini Dodoma jana.
Post a Comment