Ken na Lulu's wakiwa mbele ya kanisa wakati wa ndoa yao iliyofungiwa hemani kisongo
hii ndio familia ya nabii mkuu wa kanisa la ngurumo ya upako nabii geodavie akiwa na mkewe mama Anna
msafara wa magaari uliokuwa umewabeba bwana harusi ken pamoja na bibi harusi lulu
wa kwanza kushoto ni baba mweshimiwa
nabii geordavie akifuatiwa na mkwe wake Lulu huku wa kwanza kulia akiwa
ni mke wa mh nabii geordavie mama Anna pamoja na mtoto wao Kenn
Post a Comment