
![]() |
Waziri mkuu Khasimu Majaliwa akifungua kikao kazi cha mawaziri, Naibu mawaziri, wakuu wa mikoa, makatibu wakuu, wakuu wa taasisi za umma na viongozi wa mamlaka za serikali za mitaa, kikao kazi hicho kimefanyika katika ukumbi wa hazina jijini Dodoma leo jumapili 29/04/2018. Picha na ofisi ya Waziri mkuu |
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.