Mkuu
wa Wilaya ya Moshi Kippi Warioba akiongozana na Naibu Waziri wa
Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani walipotembelea kijiji cha Mshiri
katika wilaya ya Moshi kusikiliza Changamoto zinazo wakabili wananchi
waishio kando ya Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro .
Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwa na Mbunge wa
Jimbo la Vunjo,James Mbatia katika mkutano wa wananchi katka kijiji cha
Mshiri wilayani Moshi uliohusu Zaidi changamoto iliyopo katika eneo la
Nusu Maili katka Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro .
Baadhi
ya wakazi wa Kijiji cha Mshiri wilayani Moshi waishio kando ya Hifadhi
ya taifa ya Mlima Kilimanjaro waliofika kwa ajili ya kumueleza Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani changamoto
zinazowakabili hususani eneo la Nusu Maili.
Niabu
Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akizungumza na
wananchi katika kijiji cha Mshiri wilayani Moshi ,alipotembelea kijiji
hicho kusikiliza Changamoto zinazo wakabili hususani katika eneo la Nusu
Maili lililopo chini ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Baadhi
ya Wakazi wa Kijiji cha Mshiri wilayani Moshi wakimsikiiza Naibu Waziri
wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani (Haupo pichani )
alipozungumza nao.
Mbunge
wa jimbo la Vunjo ilipo kijiji cha Mshiri ,James Mbatia akizungumza
katika mkutano huo kuhusu Changaoto mbalimbali zinazowakabili wananchi
kaika kijiji hicho.
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Mshiri wilani Moshi.
Mku wa wilaya ya Moshi ,Kippi Warioba akizungumza katika mkutano huo.
Baadhi
ya viongozi kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) walioongozana
na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani kutembelea
kijiji cha Mshiri,kutoka kulia ni Meneja Mawasiliano wa TANAPA,Pascal
Shelutete,Meneja Utalii wa Tanapa.Bw Manase na Mhifadhi Ujirani Mwema
KINAPA,Bi Hobokela Mwamjengwa.
Mwakilishi
wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifdhi za Taifa (TANAPA) Mtango
Mtahiko akiwa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro
(KINAPA) Betrita Loibook katika mkutano wa Naibu Waziri wa Malisili na
Utalii,Mhandisi Ramo Makani na wananchi katika kijiji cha Mshiri.
Mwakilishi
wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na Kaimu
Mkurugenzi wa Uhifadhi wa TANAPA,Mtango Mtahiko akitoa salamu katika
mkutano huo.
Baadhi ya Wananchi katika kijiji cha Mshiri.
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibook akizungumza jambo katika mkutano huo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini
Post a Comment