PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI Picha Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko Mtwara WALIVYOWAPAGAWISHA WAKAZI HAO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
    Msanii Mkoloni akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtw...

 




Msanii Mkoloni akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitoakeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.

Wananchi waliojitokeza katuka Tamasha la Mabadiliko ililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.

Msanii Soggy Doggy akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.

Wasanii wa Bongo Movie wakiwasha moto katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.

Mapokezi ya wasanii mara baada ya kufika Mtwara kwa ajili ya Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top