PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO 29 SEPTEMBA, 2014 MJINI DODOMA.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta  akiongoza mjadala ndani ya Bunge hilo leo 29 Septemba, 2014 mjini  ...


image
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza mjadala ndani ya Bunge hilo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
image
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akisoma taarifa Bungeni hap oleo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
 .image 
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Evod Mmanda akisoma taarifa yake bungeni hapo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
image 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni mjumbe ndani ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mizengo Pinda akifafanua kuhusu suala la Mahakama ya Kadhi bungeni hap oleo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
 
image 
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Amon Mpanju akisoma taarifa yake bungeni hap oleo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
image
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Khadija akisoma taarifa yake bungeni hap oleo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma
image
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akichangia mada bungeni hapo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma
image
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisoma taarifa yake bungeni hapo leo 29 Septemba, 2014 mjini DodomaPIX 12. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta 
akionyesha mfano wa karatasi za kupiga kura ndani ya Bunge hilo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
image
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akionyesha sehemu ambapo Wajumbe wanatakiwa kukaa wakati wa kupiga kura ndani ya Bunge hilo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
image
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akisoma majina ya baadhi ya Wajumbe amabao wako nje ya Bunge hilo lakini watapata fursa ya kupiga kura ndani ya Bunge hilo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
image
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Lazaro Nyalandu (kushoto) akiteta jambo na mjumbe mwenzie wa Bunge hilo, Mhe. Diana Chilolo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
image
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Amon Mpanju (kushoto) akiteta jambo na wajumbe wenzie wa Bunge hilo, Mhe. Harrison Mwakyembe (katikati) pamoja na Mhe. Sophia Simba leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
image 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Benard Membe (kulia) akiteta jambo na mjumbe mwenzie wa bunge hilo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
image
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Lazaro Nyalandu (kushoto) akiteta jambo na mjumbe mwenzie wa Bunge hilo, Mhe. Asha-Rose Migiro leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
 image
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) akiteta jambo na mjumbe mwenzie wa Bunge hilo, Mhe. Edward Lowassa leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
image
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakionekana ndani ya bunge hilo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
image
Baadhi ya wageni walioalikwa wakiwa ndani ya Bunge Maalum la Katiba kushuhudia mchakato wa kusaka Katiba Mpya bungeni hapo leo 29 Septemba, 2014 mjini Dodoma. (Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma)

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top