BREAKING NEWS!!! MSIKITI WA MTAMBANI WAUNGUA MOTO TENA A+ A- Print Email PRINCE MEDIA TZ Link Author Title: BREAKING NEWS!!! MSIKITI WA MTAMBANI WAUNGUA MOTO TENA Author: PRINCE MEDIA TZ Rating 5 of 5 Des: Wananchi wakiwa nje ya Msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni wakishuhudia tukio la kuungua moto kwa mara ya pili msikiti huo Dar... Wananchi wakiwa nje ya Msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni wakishuhudia tukio la kuungua moto kwa mara ya pili msikiti huo Dar es Salaam Waumini wa msikiti huo pamoja na wananchi wakisaidia kuvuta mpira wa maji kwa ajili ya kuzima moto huo. Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiimarisha ulinzi eneo la tukio. Askari wa Kikosi cha Uokoaji wakifunga mpira wa maji baada ya kuudhibiti moto huo. Wananchi wakiangalia madawati na vyombo vingine vilivyookolewa katika tukio hilo.
Post a Comment