PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: BAADHI YA MATUKIO ALIYOYAFANYA RAIS KIKWETE WAKTI ALIPOKUWA KWENYE ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Rais Kikwete aweka jiwe la Msingi Jengo la Kitega uchumi Mamlaka ya Ngorongoro   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikiwete akiweka jiwe ...

Rais Kikwete aweka jiwe la Msingi Jengo la Kitega uchumi Mamlaka ya Ngorongoro
1 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikiwete akiweka jiwe la msingi katika jengo la kitega uchumi linalomilikiwa na Mamlaka ya hifadhi ya Bonde la Ngorongoro lililopo mjini Arusha jana jioni.
unnamedMwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Uhifadhi ya Bonde la Ngorongoro Balozi Mwanaidi Maajar akimkabidhi Rais Kikwete zawadi mbalimbali pamoja na pasi ya kudumu ya kuingia katika hifadhi ya Ngorongoro muda mfupi baada ya Rais Kuzindua ujenzi wa jengo la Kitega uchumi la Hifadhi hiyo mjini Arusha
e

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top